Kusaga kumbe alisimu!!!

Status
Not open for further replies.
Ukiwa mgeni pale mjengoni mwao Mikocheni umesimama kwenye counter unasubiri huduma, ikatokea jamaa anaingia mlangoni, basi atakuja mlinzi atakushurutisha kwa ukali ukae chini Bwana Mkubwa anaingia!! Wote mnaosubiri kwenye sehemu ya Wageni lazima mkae chini hadi apite ndiyo mnaruhusiwa kusimama. Daah! Jamaa ananata na kujifanya kama Mfalme au Mtu Muhimu Sana. Kudadeki!
Daah hiyo haijakaa sawa..
 
Nami nimepata shombe shombe la kiislam nitaslimu tu maana hamna namna! Ila nikishachukua mzigo wangu nauanzia mahubiri kwangu
Daah ,tunafana,mimi nimepata totoz sumu balaa,babake mchungaji katika kanisa moja mwenge,nitaenda kwenye dini yake
kulamba sukari ikiisha narudi kwenye imani yangu..
 
Tatizo kubwa la kubadili dini ukiwa mtu mzima ni kwamba unajikuta unakuwa huna dini-maana dini uliohamia itakuwa inakushinda (procedures n.k)kulingana na mazoea ambayo mtu umekuwa nayo-then kwenye dini yako ya awali pia hutaweza kwenda maana huko ulishaaga-so utajikuta si wa ijumaa,jumamosi wala jumapili-so at last-you are the looser
Sawa sawa mkuu umenena
 
Ukiwa mgeni pale mjengoni mwao Mikocheni umesimama kwenye counter unasubiri huduma, ikatokea jamaa anaingia mlangoni, basi atakuja mlinzi atakushurutisha kwa ukali ukae chini Bwana Mkubwa anaingia!! Wote mnaosubiri kwenye sehemu ya Wageni lazima mkae chini hadi apite ndiyo mnaruhusiwa kusimama. Daah! Jamaa ananata na kujifanya kama Mfalme au Mtu Muhimu Sana. Kudadeki!
Hawa ndo watu waliozaliwa kweny shidaa sasa wamepata zeni wanasahau where are they coming from!!! Mara nyng huwa ivyo hawajazoea pesa.... Kushika pesa ukubwan taaaaabuuuuuuuu
 
Ukiwa mgeni pale mjengoni mwao Mikocheni umesimama kwenye counter unasubiri huduma, ikatokea jamaa anaingia mlangoni, basi atakuja mlinzi atakushurutisha kwa ukali ukae chini Bwana Mkubwa anaingia!! Wote mnaosubiri kwenye sehemu ya Wageni lazima mkae chini hadi apite ndiyo mnaruhusiwa kusimama. Daah! Jamaa ananata na kujifanya kama Mfalme au Mtu Muhimu Sana. Kudadeki!
Duh! Mbona hii kinyume. Wakubwa wengi wanapopita akina sisi husimama.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom