mpimamstaafu JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 4,445 Reaction score 4,714 Jun 28, 2019 #1 Wadau naomba kujua dawa sahihi ya kusafisha masikio hata kama hayaumi ila ni suala la kuyaweka safi kuondoa nta (wax).
Wadau naomba kujua dawa sahihi ya kusafisha masikio hata kama hayaumi ila ni suala la kuyaweka safi kuondoa nta (wax).
Mzee23 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 1,742 Reaction score 3,673 Jun 28, 2019 #2 Hutakiwi kuondoa 'wax' kwenye masikio! Kama una masikio sikia.
Ulimbo JF-Expert Member Joined Aug 14, 2009 Posts 3,766 Reaction score 4,048 Jun 28, 2019 #3 Mzee23 said: Hutakiwi kuondoa 'wax' kwenye masikio! Kama una masikio sikia. Click to expand... Anamasikio ila jamejaa uchafu - Nta, hasikii, ndiyo maana anaulizia dawa ya kusafisha
Mzee23 said: Hutakiwi kuondoa 'wax' kwenye masikio! Kama una masikio sikia. Click to expand... Anamasikio ila jamejaa uchafu - Nta, hasikii, ndiyo maana anaulizia dawa ya kusafisha
mpimamstaafu JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 4,445 Reaction score 4,714 Jun 28, 2019 Thread starter #4 Ulimbo said: Anamasikio ila jamejaa uchafu - Nta, hasikii, ndiyo maana anaulizia dawa ya kusafisha Click to expand... Lengo sio kuondoa wax ni usafi tu wa kawaida badala ya kutumia zile njiti zenye pamba nilidhani kama kuna dawa ya matone
Ulimbo said: Anamasikio ila jamejaa uchafu - Nta, hasikii, ndiyo maana anaulizia dawa ya kusafisha Click to expand... Lengo sio kuondoa wax ni usafi tu wa kawaida badala ya kutumia zile njiti zenye pamba nilidhani kama kuna dawa ya matone
Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 2,955 Reaction score 2,489 Jun 28, 2019 #5 mpimamstaafu said: Lengo sio kuondoa wax ni usafi tu wa kawaida badala ya kutumia zile njiti zenye pamba nilidhani kama kuna dawa ya matone Click to expand... Mimi nilisafisha sikio kwa pamba likawa limeziba kabisa. Daktari alinishauri nisilisafishe tena. Pia niliwahi kusikia redioni mtaalam wa masikio anasema sikio halitakiwi kusafishwa, kama uchafu ukizidi hilo ni tatizo unapaswa kwenda hospitali.
mpimamstaafu said: Lengo sio kuondoa wax ni usafi tu wa kawaida badala ya kutumia zile njiti zenye pamba nilidhani kama kuna dawa ya matone Click to expand... Mimi nilisafisha sikio kwa pamba likawa limeziba kabisa. Daktari alinishauri nisilisafishe tena. Pia niliwahi kusikia redioni mtaalam wa masikio anasema sikio halitakiwi kusafishwa, kama uchafu ukizidi hilo ni tatizo unapaswa kwenda hospitali.