Kusafiri safari ndefu for fun (Road trip)

kijana wa leo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2011
Posts
2,976
Reaction score
7,299
Kuanzia tarehe moja August taanza likizo ya mwezi mmoja, nimeplan kufanya road trip kuanzia Dar - Moshi - Arusha - Babati-Mara- mwanza-Geita-Kagera -Kigoma-Katavi-Sumbawanga-Mbeya-Songea-Mtwara-Lindi then Dar...

Kwa mdau anayejua changamoto yoyote kwenye hiyo root naomba anijuze ....
 
Mimi na plan mwakani mwanzoni nizunguke nchi nzima na pikipiki yangu Kawasaki Ninja
 
Mwandishi hajatuambia anatumia usafiri gani ?

Kifupi inawezekana kabisa mbona kwa pikipiki au gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…