Actually ingekua sio border ungeweza kufika Mombasa kabla mtu wa Karatu hajafika au wa Arusha hajaagiza mbege.Wadau nataka kufanya hiyo trip niliyoitaja hapo juu kwa basi. Naombeni kutoa ushamba kwa kujibiwa maswali yafuatayo;
1. Inawezekana kufika Mombasa kutokea Dar kwa siku 1?
2. Basi zuri la kwenda huko ni basi gani?
3. Nauli yake ni Sh ngapi?
4. Taratibu za kuvuka Boarder ziko poa au kuna issues?
Sina mengi ya kuuliza hapa kuhusu huko kwa sababu nikifika huko Mwenyeji wangu atanisimamia kwa kila kitu. Ahsanteni!
Unafika siku moja ndio ukitoka saa 12 asubuh unaingia kuanzia saa 10 jion na kuendeleaWadau nataka kufanya hiyo trip niliyoitaja hapo juu kwa basi. Naombeni kutoa ushamba kwa kujibiwa maswali yafuatayo;
1. Inawezekana kufika Mombasa kutokea Dar kwa siku 1?
2. Basi zuri la kwenda huko ni basi gani?
3. Nauli yake ni Sh ngapi?
4. Taratibu za kuvuka Boarder ziko poa au kuna issues?
Sina mengi ya kuuliza hapa kuhusu huko kwa sababu nikifika huko Mwenyeji wangu atanisimamia kwa kila kitu. Ahsanteni!
Mkuu ni kweli unaweza kwenda kenys kitambulisho cha taifa bila paspoti?Actually ingekua sio border ungeweza kufika Mombasa kabla mtu wa Karatu hajafika au wa Arusha hajaagiza mbege.
Border hakuna issue kama huna mzigo wa kijingi. Kumbuka Kenya unaweza kwenda na kitambulisho cha taifa bila passport.
Mwambie akirudi mwisho wa kutafuna miraa ni Lunga LungaMabasi ya Dar to Mombasa yanaanzia pale Lumumba nayo ni Tahmeed na Moderncoast na lipo linaloondokea Fire Tawakali na fare ni kati ya Tsh elfu 30 to 40. Boader uwe na pasport na kadi ya chanjo ya yellow fever. Hapo utavuka bila vikwazo.