Kusababisha hasara

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,855
Reaction score
104,068
Naomba kujua , serikali ikikushitaki kuwa umeisababishia hasara inakuwa hasara hiyo imetokeaje.
Naomba mifano. Mfano , nimenunua mali ya serikali kwa shilingi 100. Nikaandika 200. Je hapa nimeisababishia hasara au nimeiibia serikali, which is which! Wizi kwa njia ya udanganyifu??????

=========Katika shtaka la tano, Tido anadaiwa kati ya Juni 16 na Novemba 16, 2008 katika maeneo hayo ya United Arab Emirates aliisababishia hasara TBC ya Sh 887, 122,219.19.=====

Kosa la kuiba halipo, ila ........ unahitaji maelezo zaidi . Let wait and see
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…