Wenzangu kale ka mchezo nakaona mtu anafungwa kwenye kiti na kamba zinakuwa ndefu halaf anarushwa toka juu kwenda chini na chini ni mbalii hivi wana moyo gani wa kuvumilia ,maana nahisi naweza kuzimia huko huko au kufa kabisa kwa mshituko jamanii
kamchezo haka kanahitaji moyo mpana na usiwe na presha unaweza rushwa ukafa kile kule ukarudi maiti hahahaah
Je we unaweza kurushwa vile na ukarudi mzima,wengine wanafungwa na watoto mgongoni wanaruka nao jamani watu wana roho ngumu mim hata yale madude ya kukaa halaf yanazunguka siwezi kabisaa michezo ya kunifanya nihisi kizunguzungu siitakiii
Mrs G

Weka video mi kichwa maji sijaelewa
Utaniua ujue [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajiita Mrs G kwa mbwembwe zote wakati huna chura!....Mr G ameniambia wala hana furaha na hayo mahusiano yenu!!
Kwa vitendo usijetaka turushane weweNtakuelewesha kwa vitendo mchumba.
Achana na maelezo ya Mama Sabrina, haeleweki.
Kwa vitendo usijetaka turushane wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlokole una mamboMimi kwanza nilivyoona kaandika kurushwa toka juu nikajua tu hii thread ya huyu mama inahusu mambo yetu yaleeee.
Kusoma naona vitu vya ajabu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlokole una mambo
Ushashindwa. [emoji23][emoji23][emoji23]Yaani najitahidi kupambana na vishawishi vyenu aisee.
Nitashindana na nitashinda.
Ushashindwa. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we ndo umepotea kabisa