Wengi wanachanganya hobby na kuruka stage. Ndio maana kijana akisema siendi club wenzie wanamuona anaruka stage kumbe hayo mambo si hobby yake.Hobby hubaki kuwa hobby na hili halina umri kwahiyo hapo tutofautishe na kuruka stage.. Kuruka stage ni jambo ambalo hutokea kwa muda fulani na kisha kupotea
Nakuunga mkono , wakati nasoma o ,level na advance hata chuo marafiki zangu walikuwa na mademu kinoma wanaenda hapa na pale wanafanya hiki na kile na mimi nilionekana kama domo zege na boya ambaye nimelalala ila kwa sasa nimemalizaga shule na nafikiri ndo muda mzuri wa kutafuta mrembo aliyetulia tule ujana twende hapa na pale tufanye hiki na kileWatu huwa wananiambia kuwa nimeruka stage cz wakat nasoma nilikua sina muda wa kwenda club na kufanya mambo ambayo wadada wengine wanafanya.
Lakin niliwaambia hakuna kuruka stage na wala hakitanirudia hata mara moja labda Mungu wangu aliye hai awe amekufa kwa muda huo
Nipo nadundika tu na nipo young kuliko wao ingawa umri umeenda
Ukiwaona wao sasa kama wazeee; et walikua ktk stage; sio kila kitu wanachopitia inabid upitie cz vingine ni hatari
Marafiki wanaweza kukufanya ukapitia vitu sivyo kabisa et usiruke stage kwenye ndoa utakua utarudia maliza vyote.
Inategemea na stage ipi.
Mm sitegemei kurudia stage mbovu nasonga mbele tu
Kama mambo ganiumeongea ukweli 100% watu wanafanya mambo mpaka unajiuliza huyu mtu mzima au mtoto mdogo
Ujumbe umfikie Chief a.k.aJust Praise Me, popote pale alipoView attachment 371539
Hebu jichunguze hivi hujaruka hatua kweli kwenye makuzi yako?usinijibu ifanye kuwa siri yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo MSHUA wa Dogo hajatulia.
Hapo hawezi kunyonga hata PEDELI.
Anachofanya, BAISKELI ikipungua mwendo anashusha Miguu yake na kuanza kujisogeza kwa Miguu.
Mwendo ukikolea ananing'iniza tena Miguu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hivi kumbe ukiruka stage inakuja jirudia uzeeni naogopa sana maana katika maisha yangu sikuwahi kuzeja kombolela utotoni na mpaka sasa maswala ya kuwa katika mahusiano na wasichana au kutogoza inakuwa insu ngumu kwangu hii inatokana na maisha magumu ya kusaka tonge. Basi mungu anisaidie isije kutokea maana nahisi stage ikijirudia nitapotea kabisa
CC : Chamdeko my lovely soulKuna watu hawapendi kujipa shida wala kujiwazisha kwenye mambo yatakayowapa msongo wa mawazo...
Ndiyo maana wanakua open na mambo yao kiasi kwamba watu wanawaona wanafanya mambo ya kitoto...
Lakini siyo kweli... Ukweli ni kwamba huyo mtu kaamua kua huru na mambo yake...
Cc: mahondaw