Kurudisha simu

Kurudisha simu

annagrace

Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
64
Reaction score
111
Wakuu kwema!
Niende directly katika mada husika, nimeibiwa simu leo na bodaboda mida ya asubuhi uzuri IMEI namba niliandika pembeni hivyo nimeenda mtandao husika nimeifunga kabisa, nachohitaji ni kurudisha simu lakini sitaki kupitia polisi mwenye ujuzi nifanye nn nakaribisha mawazo yenu wadau!
 
utamkamataje mwizi bila ya kuwa na warrant?
 
Wakuu kwema!
Niende directly katika mada husika, nimeibiwa simu leo na bodaboda mida ya asubuhi uzuri IMEI namba niliandika pembeni hivyo nimeenda mtandao husika nimeifunga kabisa, nachohitaji ni kurudisha simu lakini sitaki kupitia polisi mwenye ujuzi nifanye nn nakaribisha mawazo yenu wadau!
Hutaki kwenda Police na wewe uliiba?
 
Back
Top Bottom