Duuuu...we jamaa kwani umezuiwa kununua gari? Hii roho mbaya umeitoa wapi...huko nyuma mbona ulikuwa mzuri tuLitupe baharini
Mkuu sio kwamba wewe ndio unataka kurudisha harufu ya gari lako la mtumba?Akili za mtumba tabu sana
Mbona ndiyo mara yangu ya kwanza ku postDuuuu...we jamaa kwani umezuiwa kununua gari? Hii roho mbaya umeitoa wapi...huko nyuma mbona ulikuwa mzuri tu
Hio harufu haiwezi kurudi. Gari mnakula wali maharage humo humo,vikwapa,mnabeba samaki n.k.Habari watalaamu
Mara nyingi ukiagiza gari kuto njee inakuja na kaarufu fulani hivi kazuri kasiko umiza, ila inapoendelea kutumika ile harufu inapotea. Sasa nataka kujua kuna njia gari yakurudisha kale harufu au hata kama ni harufu nyingine iwe ya kudumu bila kuweka hizi “smell fragments “ za kichina? Nakama hizi fragments ipi ina kaa kwa muda mrefu ?
Kumbe gari una harufu inakuja nayo! [emoji4]
Maskini ambao hatujawahi miliki magari tunakosa mengi aisee! [emoji4]
Gari inatumika Ulaya,Japan miaka 15-20 na bado ina 'new car smell' ila ikitua Bongo miezi sita tu inanuka uvundo!Kumbe gari una harufu inakuja nayo! 😊
Maskini ambao hatujawahi miliki magari tunakosa mengi aisee! 😊
Gari inatumika Ulaya,Japan miaka 15-20 na bado ina 'new car smell' ila ikitua Bongo miezi sita tu inanuka uvundo!