Mkuu ninashida na hiyo software naipataje?Hi guys, return back your lost files any formatted hard drive,FLASH DISK:
kwa watu wanaohtaji kurudisha files ambazo zimepotea either kwa kuformat Hard Disk ,FLASH... mnaweza kuniemail kwa titusf@rucu.ac.tz . ‪#‎thanks‬
Wizzard frofessional commads
Kuna hii iCare data Recovery Software ni kiboko
Mkuu hii mwisho wa kurecover ni 2Gb.Zaid ya hapo unalipia
Mi niliwahi kuwekewa moja nitaitafuta na kuiweka hapa kama kati ya leo mpaka jmosi.Yap atoe tutorial hapa,ili watu tuelimike ,email Kwan kuna usiri gani?? Mbona akina chief mkwawa,njunwa,mwlrct and others wanaelimisha hadharani??