Kurudisha BK

Kurudisha BK

Mwaka mpya mambo mapya. Nataka nianze mwaka on a clean slate. Hapa nafikiria kufanya procedure inaitwa haymenoplasty. Nirudishe hymen mahali pake 😂.

Hii procedure ni famous sana India, Tz sijaiskia sana inawezekana inafanywa kimya kimya.

Sina nchumba wala sifikirii kuolewa anytime soon.

Nimefanya research ya kutosha. It's an out patient procedure. Gynecologist yoyote anafanya hii.Yani unaingia kwa Dr anafanya yake nusu saa unatoka mpyaaa 😋

I can't wait. Tuombeane uzima nipate vijisenti nikarudishe usichana wangu.

Alamsiki!
bikra haiusiani na sehemu za siri tuu, bali ni kutokuwai kufanya tendo kabisa, wewe unacho tafuta sio bikra, wewe unatafuta kumuuzia mbuzi kwenye gunia, huyo mjinga mmoja, wewe unatafuta kumdanganya mtu, na cha zaidi, unatafuta kubana sehemu zako za siri ziwe kama bikra, wewe unajidanganya, tena unauswahili na ushamba.
 
na wa nyuma urudishe

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mwaka mpya mambo mapya. Nataka nianze mwaka on a clean slate. Hapa nafikiria kufanya procedure inaitwa haymenoplasty. Nirudishe hymen mahali pake 😂.

Hii procedure ni famous sana India, Tz sijaiskia sana inawezekana inafanywa kimya kimya.

Sina nchumba wala sifikirii kuolewa anytime soon.

Nimefanya research ya kutosha. It's an out patient procedure. Gynecologist yoyote anafanya hii.Yani unaingia kwa Dr anafanya yake nusu saa unatoka mpyaaa 😋

I can't wait. Tuombeane uzima nipate vijisenti nikarudishe usichana wangu.

Alamsiki!
Duuu tuache masihala, jamaa ulimpenda.
🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom