Mwaka mpya mambo mapya. Nataka nianze mwaka on a clean slate. Hapa nafikiria kufanya procedure inaitwa haymenoplasty. Nirudishe hymen mahali pake 😂.
Hii procedure ni famous sana India, Tz sijaiskia sana inawezekana inafanywa kimya kimya.
Sina nchumba wala sifikirii kuolewa anytime soon.
Nimefanya research ya kutosha. It's an out patient procedure. Gynecologist yoyote anafanya hii.Yani unaingia kwa Dr anafanya yake nusu saa unatoka mpyaaa 😋
I can't wait. Tuombeane uzima nipate vijisenti nikarudishe usichana wangu.
Alamsiki!