Rudi dar kuna kituo cha mhaya mwenzako kipo Mbezi Beach Tankibovu njia ya kwenda Goba ..i mean Goba road ila punguza majivuno ya kihaya eti mwemyeji wa Dar halafu unatafuta kituo Bukoba ...acha misifa ya kihaya ya kijinga kabisa ndo maana wahaya nawachukia sana mieeee