Erick Martie
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 341
- 371
Ningependa kujiunga oktoba kwa masomo ya jion QT kwa Advanced Level, je ntawezapata nafasi au nmechelewa ili niweze kufanya mtihani mwakan mwez wa 4 cjui wa 5 mwakan, naomba ushaur wenu wadau
Okey nmekuelewa mkuu, ntakuwa sasa namaanisha kujisajili kufanya mtihan wa Private candidate wa A levelqualifying tes(qt)
equivalent ya 4m2
baada ya hapo ni csee
so kiufup qt huishia 4m2
hakuna qt advance
huyu anajisajili ili apate number ya kufanya mtiani wa csee as pc
na hiyo qt ya advance inafanyika lini ili kupata number ya kujisajili mtian wa acsee?
NASHIDA NA WWkama uko seriois nipigie nkupe technique kaka ila kubwa unaweza kudownload hapa ni www.thlapp.co.tz
Upo wapmimi nkijana mwenye umri wa miaka 21 nahitaji kurudi shule ila nataka nisome QT. kutokana npo kazini ningependa masomo yawe yana anza saa 7 mchana na kuendelea NAHITAJI KAMA UNAIJUA SHULE AMBAYO WANAFUNDISHA KUANZIA MDAA UO NIFAHAMISHE NIFATILIE
Link haifungukikama uko seriois nipigie nkupe technique kaka ila kubwa unaweza kudownload hapa ni www.thlapp.co.tz
nipo chalinze now ila narud dsm mbagala kongowe mwezi wa nneUpo wap
link ipi iyoLink haifunguki