Kurudia kipimo cha MRI

Swali lako halina mantiki.
Kwanini?
Kwanini unataka kurudia kufanya hicho kipimo?
Kwanini isiruhusiwe ikiwa kuna ulazima wa hicho kipimo kufanyika?
Jaribu kuongeza maelezo ili wataalamu wakusaidie.
 
Ndio unaweza ukarudia hata mara 10 kwa mwezi kutokana na matakwa ya daktari kwa sababu MRI sio mionzi (radiation kama ilivyo x ray au CT scan).
MRI(Magnetic resonance imaging) inatumia magnetism .Hadi sasa duniani hakuna madhara yoyote yanayosababishwa na kufanyiwa picha za mwili kwa kutumia magnetism
 
Asante kwa jibu zuri🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…