Kurudia kidato cha kwanza 2013 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kurudia kidato cha kwanza 2013

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by JOACKIM THOMAS, Jul 22, 2012.

 1. J

  JOACKIM THOMAS Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli wanafunzi watakaoshindwa mtihani wa kidato cha pili watarudia darasa au watafukuza? kwa maana kuna mwalimu mkuu wa shule moja hapa jijini mwanza amesema mwanafunzi atakayefeli mtihani wa kidato cha pili atamfukuza kwa maana kidato cha kwanza kuna wanafunzi zaidi ya mia mbili pia kidato cha pili kuna wanafunzi zaidi ya mia moja na hamsini. je, iwapo watafaulu wanafunzi hamsini kuingia kidato cha tatu na hawa mia watarudia kidato cha pili madarasa atayatoa wapi? na darasa la kidato cha pili litakuwa na wanafunzi zaidi ya mia tatu na hamsini.
   
 2. KATUMBACHAKO

  KATUMBACHAKO JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kama hiyo shule ni PRIVATE ni sawa,ila kama ni GVT,hakuna kufukuza dent atarudia kidato cha II . .!
   
 3. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  shule gani?
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  kaaazi kwelikweli
   
 5. J

  JOACKIM THOMAS Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bujingwa secondary ya jiji mwanza
   
 6. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ni ya selikali au private?? Ka ni private anaweza fukuza ila ka ni zile zetu kazi anayo
   
 7. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hii ni danganya toto kama ile ya usipooga leo,hauli wali
   
 8. J

  JOACKIM THOMAS Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli sana hii ni danganya toto na shule yenyewe ni ya government
   
Loading...