Omulangi JF-Expert Member Feb 12, 2008 1,036 265 Aug 20, 2016 #1 Ikiwa postmortem inarudiwa baada ya marehemu kuzikwa, Je nani anapaswa kushiriki? Na haki ya ndugu wa marehemu ni zipi ili kuhakikisha ukweli Wote kuhusu kifo cha marehemu una julikana?
Ikiwa postmortem inarudiwa baada ya marehemu kuzikwa, Je nani anapaswa kushiriki? Na haki ya ndugu wa marehemu ni zipi ili kuhakikisha ukweli Wote kuhusu kifo cha marehemu una julikana?