Kurudi kwenye mfumo rasmi wa elimu

Kurudi kwenye mfumo rasmi wa elimu

ribussama

Member
Joined
Dec 11, 2016
Posts
94
Reaction score
42
Tangazo...
Fursa kwa vijana waliopata pass chache za kidato cha nne yaani kuanzia D moja na kuendelea . kuna Program imeandaliwa kwa miaka miwili inayoitwa Business Operation Assistant. Mwanafunzi akijiunga na hii program anaweza kupata faida zifuatazo
1. Kupata fursa ya kujiunga na Diploma moja kwa moja kwenye fani aitakayo mara baada ya kumaliza.
2. Kurudi kwenye mfumo rasmi wa elimu ya Tanzania
3. Kupata professional skills na cheti kwenye areas kama Accounts, Procurement, Marketing, Stores, Logistics mgt, nk.
Wahi sasa kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hii. 0718476238 au 0742934704.
 
Mie nataka kupiga afya vipi ndg na nmefer phcs na mathe
 
Mwenye d moja atasomaje diploma ebu fafanua mkuu
Ahsante kwa kuuliza swali zuri sana baba dullah..

Hii program inaitwa Business Operation Assistant ni Course ya miaka miwili.

Sifa za kujiunga: Mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne na awe na ufaulu kuanzia Pass moja yaani D moja na kuendelea.
Kwahiyo atasoma Hii Program kwa miaka miwili na akimaliza atapewa Cheti ambacho kipo chini ya VETA ambayo ni equivalent na NTA Level 4 ya NACTE kwahiyo maana yake hatoitajika kusoma tena Certificate au NTA Level 4 badala yake atakuwa amepata sifa ya kusoma Diploma moja kwa moja kwenye fani atakayohitaji katika chuo chochote Tanzania.
Kama utakuwa na swali mkuu unaweza kunitumia number yako ya sim au piga 0718476238 kwa ushauri zaidi..
 
Back
Top Bottom