Mr egm
Senior Member
- Jan 24, 2014
- 154
- 6
Wanajamvi habar za majukum ?
Naomba ushaur wenu nimechaguliw udom na nna mda kdgo ila bado sijapata admission letter na chuo Nov.14 jana wamefungua!
Na nimeona humu taarifa za kushtua kuwa kuna wanafnz first year wenzang jana wamekataliw bila admission letter!
Ushauri tafadhal na matus hayaa ruhusa