Kurenew cheti ERB

Kurenew cheti ERB

kitonger

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
1,164
Reaction score
1,539
Wakuu habari zenu,naomba mwenye mwongozo wa kurenew cheti ERB .mie ni Graduate Engineer..cheti nilipewa 2018 kimeexpire 2021
 
Engineer unazingua, hakuna kurenew inabidi ufanye project ndani ya miaka mitatu( 2018_2021) tayari uwe umesajiliwa kama professional engineer( PE)
 
mkuu mie nmemalz npo tu home since 2018 till now..sasa hiyo project ntaifanya vp.
 
Engineer unazingua, hakuna kurenew inabidi ufanye project ndani ya miaka mitatu( 2018_2021) tayari uwe umesajiliwa kama professional engineer( PE)
Habari ,

Naomba unisaidie jinsi ya kuandaa professional report
 
Hauwezi kurenew Cheti cha ERB graduate engineer,nicheki nikuandike report usajiliwe kama Professional Engineer
 
Yani umuandikie report ili asajiliwe kama professional engineer ?
Hahahaha kwaio kwenye hiyo report wewe ndo utamfanyia SEAP, wewe ndie utakuwa Supervisor wake na wewe ndie utakae kuwa mwenyekiti wa bodi kumpitisha sio ?

Mkuu mwenye changamoto husika kama upo Dar nenda kwenye ofisi zao pale Postal mtaa wa Pamba (kama sijakosea) utapewa muongozo ufanye Seap
 
Kufanya SEAP sio lazma mkuu, kwa huyu ambae ameshatimiza miaka mi 3 ya uzoefu ni bora aandike report moja anasajiliwa vzur tu, SEAP itamchukua miaka mingine mi 3 kusajiliwa.
 
Mkuu nakuja pm unipe mawili matatu.
 
Kufanya SEAP sio lazma mkuu, kwa huyu ambae ameshatimiza miaka mi 3 ya uzoefu ni bora aandike report moja anasajiliwa vzur tu, SEAP itamchukua miaka mingine mi 3 kusajiliwa.
Kufanya SEAP sio lazma mkuu, kwa huyu ambae ameshatimiza miaka mi 3 ya uzoefu ni bora aandike report moja anasajiliwa vzur tu, SEAP itamchukua miaka mingine mi 3 kusajiliwa.
Yani akae tu nyumbani miaka mitatu then useme ana experience umuandikie report awe professional engineer?. Amekwambia tangu amalize yupo tu nyumbani
 
Ndugu, kuandikiwa report na kuwa professional wala haishindikani,akishapata cheti cha professional engineer ndio itakua rahisi kwake kupata kazi na hio experience.
Kwa sasa hivi ata practice vipi engineering bila cheti cha graduate au professional?
 
Simshauri na napinga kwa nguvu zote kumuandikia mwenzako ripoti eti awe PE kwasababu atakaekuja kuumia badae ni yeye wakati wewe ushachukua hela yako na upo kando.
Hivi mkuu humuonei huruma mwenzako hata hiyo experience unayoisemea hana leo umpe mzigo wa Uprofessional huoni kuwa utakuwa umembania mwenzako rizki sio sekta binafsi(ambao watahitaji zaidi practical ya huo uprofessional wake) wala serikalini(ambapo kazi nyingi wanatakiwa Graduate Engineer)
?
 
Mwisho wa siku maamuzi ni yake mwenyewe kwako naomba niishie hapa.

Muwe na siku njema
 
Weka bei ya kuandika report kabla hatujaja pm, tuna zaidi ya miaka 10 hapa, tunataka jina la lenye PE tu, sio Eng.
 
Mwisho wa siku maamuzi ni yake mwenyewe kwako naomba niishie hapa.

Muwe na siku njema
Mimi nmeangalia urahisi wa yeye kupata nafasi kwenye tasnia,utamshawishi vp mtu kua ulimaliza 2018 mpaka Leo sio graduate wala professional engineer?Nachomshauri achukue cheti cha P.E kitamsaidia mbeleni.

Kama ulvosema uamuzi unabaki kwake usiku mwema.
 
Simshauri na napinga kwa nguvu zote kumuandikia mwenzako ripoti eti awe PE kwasababu atakaekuja kuumia badae ni yeye wakati wewe ushachukua hela yako na upo kando.
Hivi mkuu humuonei huruma mwenzako hata hiyo experience unayoisemea hana leo umpe mzigo wa Uprofessional huoni kuwa utakuwa umembania mwenzako rizki sio sekta binafsi(ambao watahitaji zaidi practical ya huo uprofessional wake) wala serikalini(ambapo kazi nyingi wanatakiwa Graduate Engineer)
?
Haqualify tena kua graduate engineer,na hauwezi Ku update cheti cha graduate engineer kikisha expire.hapo ni kuchukua tu P.E suala La uzoefu ataupatia baada ya hapo.
 
Back
Top Bottom