Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 6,289
- 10,999
Wadau natumia pc ya dell gx 520, windows xp.
Nlitaka kurekodi sauti wakati naimba nimechomeka mic kwenye pc nikatumia Adobe addition kurekoti nlipomaliza nikaplay ile sauti imesikika vizuri tatizo kuna muungurumo flani ambao unasikika kwenye sauti hiyo!
Nimejaribu kurekodi kwa kutumia Sony vegas lakini tatizo la muungurumo kwenye sauti nliyorekodi bado lipo!
Naomba wataalam wa kurekodi wanijuze.
Natanguliza shukran.