Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,684 Nov 13, 2011 #1 kuna mtu kaona hizi picha akauliza hivi kura zinaendaga wapi sasa huu ni umati wa SUGU kule mbeya ..peoplesss!!!!!!!!!!!! View attachment 41157View attachment 41158 View attachment 41159
kuna mtu kaona hizi picha akauliza hivi kura zinaendaga wapi sasa huu ni umati wa SUGU kule mbeya ..peoplesss!!!!!!!!!!!! View attachment 41157View attachment 41158 View attachment 41159
Quinty JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 462 Reaction score 74 Nov 13, 2011 #2 Hilo swali la muhimu sana mkuu Ivuga
MKOBA2011 Senior Member Joined Jul 12, 2011 Posts 142 Reaction score 27 Nov 13, 2011 #3 Chchm wakiona hivyo wanachanganyikiwa
Achahasira JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 1,213 Reaction score 215 Nov 13, 2011 #4 asilimia kubwa hawana kadi za kupigia kura.
Mwita Matteo JF-Expert Member Joined May 16, 2010 Posts 216 Reaction score 55 Nov 13, 2011 #5 Ila kama kweli umati wote huo ukijiandikisha kupiga kura, kisha wote wakajitokeza siku ya kupiga kura no doubt CCM itakua chali, sababu nikuwa waliopamba umati huo ni vijana na kama ndio hao vijana wamekichoka chama unafikiri kitatokea nini????
Ila kama kweli umati wote huo ukijiandikisha kupiga kura, kisha wote wakajitokeza siku ya kupiga kura no doubt CCM itakua chali, sababu nikuwa waliopamba umati huo ni vijana na kama ndio hao vijana wamekichoka chama unafikiri kitatokea nini????
M massai JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 653 Reaction score 137 Nov 13, 2011 #6 ruge na wachumba zake wa clouds fm wakiona hivyo sijui wanajisikiaje,vipi kilaza kibonde na uropokaji wake hapo vipi???sugu moto chini
ruge na wachumba zake wa clouds fm wakiona hivyo sijui wanajisikiaje,vipi kilaza kibonde na uropokaji wake hapo vipi???sugu moto chini
driller JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 1,116 Reaction score 246 Nov 13, 2011 #7 hapa ndio hua unaona kua wizi wa kura ni kitu dhahiri na sio myth
Chatumkali JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,037 Reaction score 459 Nov 13, 2011 #8 Wenyewe wanaita NYOMI!