Kura za Maoni ya Urais ndani ya CCM : Majaliwa vs Mwigulu

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
79,080
Reaction score
84,972
Mtaamua wenyewe,Mimi Sina interest Kwa Sasa Rais wangu anaenda anamlizia ngwe yake 2030.

Hao Jamaa Wana mfanano Kwa kiasi Fulani lakini linapokuja suala la ustawi wa kiuchumi na biashara basi Mwigulu ana advantage.

Ila kama mnataka statesman ,mwenye kaustaarabu na maamuzi yasiyo ya kutaka sifa na kukurupuka basi ni Majaliwa.

My Take
Simpigii mtu Kampeni Wala Sina interest na wote wawili hapo Juu,Rais wangu Mimi anamaliza mda wake 2030.

Nje ya hao sijaona mwingine huko CCM wa kukabiliana na Nguvu ya upinzani na ambae anakubalika na mfumo so sitoshangaa kuona utaratibu wa PM kutokuwa Rais kuvunjwa Rasmi kama ulivyovunjwa utaratibu wa VP kuwa Rais.

Bila shaka kanisa la mitume litakuwa nyuma ya Katelephone ikiwa watakosa mtu wao.
 
Kulingana na CCM, 2030 ni zamu ya Wagalatia ila Chikwete Jr anaweza kufosi kete kingi.
Maskini February Marope kapotezwa kwenye game kabisa.
 
Chawavariable kwanini unatumia VPN?

Hujui kutumia VPN ni kosa?

Halafu huyo Samuya alichaguliwa na nani?
 
Attachments

  • downloadfile-270.png
    downloadfile-270.png
    285.8 KB · Views: 3
Kulingana na CCM, 2030 ni zamu ya Wagalatia ila Chikwete Jr anaweza kulazimisha kete.
Hawezi kuwa Rais huyo Jnr labda PM.

Pili utaratibu unaweza kuvunjwa ikiwa hakuna ambae atawarahisishia kazi ya kuwashinda Wapinzani wasije kutumia Nguvu kubwa kama 2025.

Tukiacha hao,mgalatia gani ambae ni potential mwingine?
 
Kama Jiwe na Samuya wameweza kuwa yeyote anaweza kuwa.
Kwa hali inavyoendelea sasa 2030 hakutakuwa na uchaguzi, itakuwa kama 2025 tu,
Potential wa nini? Mgalatia yeyote atakayekwa na CCM dola ya CCM itamsimika hata kwa mitutu kama ilivyofanya 2025.
 
Hawezi kuwa Rais huyo Jnr labda PM.

Pili utaratibu unaweza kuvunjwa ikiwa hakuna ambae atawarahisishia kazi ya kuwashinda Wapinzani wasije kutumia Nguvu kubwa kama 2025.

Tukiacha hao,mgalatia gani ambae ni potential mwingine?
Katika vitu CCM wameweza sana mpaka sasa ni kudumisha ushirika wao wachawi kwa ugawaji vyeo na mabavu ya dola wakati mwingine, siku wakijichanganya kama hivyo wapore zamu ya Wagalatia ilete mgawanyiko mkubwa ndani yao ndio itakuwa mwisho wao madarakani haraka sana.
 
Mtaamua wenyewe,Mimi Sina interest Kwa Sasa Rais wangu anaenda anamlizia ngwe yake 2030.

Hao Jamaa Wana mfanano Kwa kiasi Fulani lakini linapokuja suala la ustawi wa kiuchumi na biashara basi Mwigulu ana advantage.

Ila kama mnataka statesman ,mwenye kaustaarabu na maamuzi yasiyo ya kutaka sifa na kukurupuka basi ni Majaliwa.

My Take
Simpigii mtu Kampeni Wala Sina interest na wote wawili hapo Juu,Rais wangu Mimi anamaliza mda wake 2030.

Nje ya hao sijaona mwingine huko CCM wa kukabiliana na Nguvu ya upinzani na ambae anakubalika na mfumo so sitoshangaa kuona utaratibu wa PM kutokuwa Rais kuvunjwa Rasmi kama ulivyovunjwa utaratibu wa VP kuwa Rais.

Bila shaka kanisa la mitume litakuwa nyuma ya Katelephone ikiwa watakosa mtu wao.
Dogo my take unakera asee.

adriz de mbusii
 
Back
Top Bottom