Kura za maoni uchaguzi mdogo kalenga

Kura za maoni uchaguzi mdogo kalenga

majosa jr

Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
58
Reaction score
14
Wanajamvi napenda kujua kura za maoni zisizo chakachuriwa zinasemaje kuelekea uchaguz huo. Synovate na redet mpo wapi?
 
Kura halali CCM 30%, CDM 60%... Baada ya kuchakachuliwa CCM 70%... CDM 20%.... Tanzania bado sana...
 
ziczochakachuliwa CHADEMA 68% CCM 30%
zilizochakachuliwa CHADEMA 50% CCM 47%
 
Wakichagua ccm utakuwa ni uasi kwa chief Mkwawa
 
Back
Top Bottom