mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,334
- 12,466
Kwani wewe ni mtanzania?Lissu atapigiwa kura na robert tu
Uchaguzi huu ni kuwafundisha Chadema kuwa usaliti kwa Nchi ni laana
Wenzio wamekamatwa mwanza Jana hivyo watakutaja na wewe utakuwa ndani 2810,mwaka huu hatutaki kabisa

pole sana....embu nikusaidie kidogo kufikiria mana ww ni mzigo wa haja ....chadema ni chama cha pili kwa kuwa na idadi kubwa ya madiwani na wabunge manake wanapata ruthuk kubwa ukiacha ccm, wabunge wake wanalazimika kutoa gawio kwa chama katika kila mshara wa mwezi, wanawashirika manake wanapata fedha kutoka kwa miaka 25 niambie mnatua uchawi gani mpka mkajenga huu upuzi
alfu bila haya wala aibu unamzungumzia Magu mjinga kabisa ww...