Kura yako ndio utu wako, ithamini.

Kura yako ndio utu wako, ithamini.

TURUFUDUME

Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
70
Reaction score
39
Ikiwa imebakia takriban miez minne tu kabla ya watanzania ya watanzania kupiga kura ili kucha madiwani, wabunge na rais wa jamhuri ya mungano wa Tanzania, nå madiwani wawakilishi nå rais wazanzibar kwa upande wa Zanzibar, nimeonaniwakumbushe wale wasiojielewa mana kuna mijitu haitaki kupiga kura utaiskia " MIMI NA SIASA VITU TOFAUTI", Huyu huyu ndio wakwañza anaelalamika watoto wake wamekosa mkopo, dola ipo juu umeme ghali n.k, hajawahi kujiuliza nani anaesababisha haya, lakin mapenzi ya Daimond na wema anayajuwa mwanzo mwisho utafkir yeye ndio mshenga wao ( tena tena unamkuta ni mtoto wa kiume) lakini humwambii kitu kuhusu bongo muvi anawajua wote nå jinsia zao, maskini watanzania nani katuroga? hebu tuweni Sirius kwenye mambo muhimu. Waelimishe na wengine ili wakajiandikishe
 
Kila mtu na flavour yake mkuu ila katika suala la kupiga kura tusipuuze ndugu zangu ILA kuliko kuipigia kura CCM afadhalia usipige kabisa.




Vote for UKAWA.
 
Back
Top Bottom