Mzururaji
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,558
- 1,274
Aaagh brother utani huo kweli zanzibar hii hii wanaotaman muungano
Naona unakuja na hoja dhaifu sana tena sana unless unakusudia kuuendeleza uCCM!
Hivyo unafikiri sote tuna uwezo sawa wa kufikiri. Ni sawa uwezo wako wa kufikiri umekufanya uamini unavyoamini na mimi nina mtazamo tofauti wala usinione kuwa sina uelewa.
Hata hivyo ninachokieleza mimi ni kuwa huo uchaguzi wa CCM katika mfumo wa kupiga kura, kama walikusudia uwanufaishe basi wajitayarishe na upande wa pili wa shillingi yaani taathira mbaya kwa uamuzi wao.
Jee na wewe hujaelewa bado?
Nilichokuambia siyo swala la kujenga hoja bali ni ukweli wa hali ilivyo katika upigaji wa kura kwenye bunge Maalum.
Uchaguzi gani huo wa CCM na uamuzi upi huo unaodai wakati kuna upigaji kura wa aina mbili kwa sasa katika bunge la katiba?.
Mbunge akipenda wazi anapiga wazi na mwingine akipenda siri anpiga siri.
Hawawezi kupata theluthi mbili, sisi Wawakilishi na Wabunge kutoka vyama vya CUF na Chadema kutoka Zanzibar tunafikiria kupiga kura za wazi ili tuweze kudhibiti kura zetu, alisema Haji, ambaye ni Mwakilishi kutoka Jimbo la Kiwani.Mkuu, Kanuni za bunge la Katiba hazilamishi mbunge yoyote kupiga kura ya wazi au siri.
Kilichofanyika ni wabunge kupewa uhuru wa kupiga kura ya wazi kama anapenda au ya siri vile vile kama anapenda, kwa maana nyingine, kila kundi lilipata kile lilichokuwa likitaka kuhusiana na aina ya upigaji wa kura. Hakuna mbunge au kundi la wabunge kwa sasa limelazimishwa nje ya matakwa yake katika aina ya upigaji wa kura
Andiko lako linaonyesha wewe ndiyo hujafahamu kilichokubaliwa au unafahamu lakini unajaribu kupotosha wana Jf.
Ni angalizo tu.