kura ya maoni tafathari.

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
474
Reaction score
188
Hivi wadau haiwezekani kupiga kura ya kutokuiamini SISIEM? Maana mi sioni njia nyingine.
 
Kura isimamiwe na nani? Chini ya mamlaka ya nani?
 
Administrator wa JF hebu tutengenezee kasehemu kakupiga kura ya kutokuwa na Imani na rais kikwete na kutaka hatoke madarakani....
 
Hatutaki kutokuwa na imani na chama, tunataka kura ya 'NO CONFIDENCE kwa 'HEAD OF DA STATE' coz ndo mwenyekiti wa magamba,,,,,chama hakinashida tatizo ni wote waliondani yake maana wanaongozwa kwa 'system' ('mtandao' wa walaji wa kodi zetu)**
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…