Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,930
Hii ni taswira ya kura ya maoni inayoendelea katika ukurasa wa Kiswahili wa tovuti wa IPP. Ni dhahiri kwamba kura hii ni kielelezo cha jinsi wananchi kwa ujumla watakavyo piga kura kuamua muundo wa muungano. Wale wanaojifanya wabishi na kujidai hii nchi ni yao waone kabla ya kujaribu kulazimisha mambo.