mimi ni mpenda mageuzi. Kuna muda niliamini kwa nguvu kabisa kuwa uongozi wa chadema unaweza kufanya kazi nzuri ya kukiongoza chama hadi kuchukua nchi na kuleta mabadiliko tunayoyataka. Lakini kadri siku zinavokwenda ndiyo nagundua udhaifu wa uongozi wa chadema.
Leo bungeni imesomwa hotuba ya ovyo kabisa toka chadema na kuleta mtafaruku mkubwa bungeni. Humo bungeni walialikwa wanafunzi wa vyuo na kushuhudia wenje akisoma hotuba ya kijinga kabisa ambayo haina tija kwa taifa letu wala kwao.unaongelea maneno ya kuudhi kama ushoga kukilinganisha kikubwa kama cuf unategemea nini? Wana cuf na wengineo watakupenda kweli? What was the strategy kuleta upuuzi ule? Kama dr. Slaa ndio umakini wake umeishia pale basi ujue nchi hii itaongozwa na ccm milele, mark my words. Kwani najua dr. Slaa kama katibu mkuu aliipitia hotuba ile na kuipa baraka zake. The same goes with mbowe. Haiwezi kusomwa hotuba bungeni bila ya wao kuipitia. Na kama hawakuipitia then hawafai. Na kama wameipitia na kuipa baraka zao basi pia hawafai.mkiwa na viongozi kama wenje ambao mnataka siku moja waongoze nchi, then you have another think coming.
Wake up,slaa and mbowe: Chadema kinaondoka! Tafuteni watu makini kwenye nafasi za uongozi ili muendelee. Chadema hakipendwi kwa sababu ni chama makini, bali kwa sababu watu wameichoka sana ccm, lakini ccm ni makini zaidi na wana mikakati mikubwa kuliko chadema kwa mbali sana. We angalia hotuba za ccm bungeni uje ulinganishe na za wenje na mambo ya ushoga wapi na wapi. As prof. Muhongo said the other time hotuba za upinzani zinatakiwa zije na alternative solutions kwa matatizo ya taifa letu lakini si kuja na porojo tu zisizo na hoja yoyote. Soon the people will see thru chadema and call your bluff. We need a strong and competent opposition!
Hahaha hahaha hahahaungesema angalau kijisehemu cha hotuba ambacho hakijakaa vizuri ningekuoana una maana ila kwa izo point zako naona ni stori tu za kahawani:yell:
Hahaha hahaha hahahaNadhani wewe hukuangalia live Bunge bali umesimuliwa na wenzako!!!
Tatizo watanzania ni wepesi wa kubwabwaja tu, ukimwambia soma hata ukurasa mmoja hasomi, kwa mtu aliyemakini akisoma alichokiandika wenje hakuna tusi pale, Wenje amelezea milengo ya vyama mbalimbali duniani na vyama marafiki
Nimegundua watu wengi wanafeli mitihani kwa sababu ya kukurupuka kujibu bila kutafakali kwa kina
Kwani kazi ya Chadema ni kuelezea mirengo mbali mbali na vyama vingine? Hawakuulizwa hilo. Na kama wangetaka porojo wangeelezea itikadi yao
naona umekunywa kinana mbili baridiiiiiMimi ni mpenda mageuzi. Kuna muda niliamini kwa nguvu kabisa kuwa uongozi wa Chadema unaweza kufanya kazi nzuri ya kukiongoza chama hadi kuchukua nchi na kuleta mabadiliko tunayoyataka. Lakini kadri siku zinavokwenda ndiyo nagundua udhaifu wa uongozi wa Chadema.
Leo bungeni imesomwa hotuba ya ovyo kabisa toka Chadema na kuleta mtafaruku mkubwa bungeni. Humo bungeni walialikwa wanafunzi wa vyuo na kushuhudia Wenje akisoma hotuba ya kijinga kabisa ambayo haina tija kwa Taifa letu wala kwao.Unaongelea maneno ya kuudhi kama ushoga kukilinganisha kikubwa kama CUF unategemea nini? Wana CUF na wengineo watakupenda kweli? What was the strategy kuleta upuuzi ule? Kama Dr. Slaa ndio umakini wake umeishia pale basi ujue nchi hii itaongozwa na CCM milele, mark my words. Kwani najua Dr. Slaa kama Katibu Mkuu aliipitia hotuba ile na kuipa baraka zake. The same goes with Mbowe. Haiwezi kusomwa hotuba bungeni bila ya wao kuipitia. Na kama hawakuipitia then hawafai. Na kama wameipitia na kuipa baraka zao basi pia hawafai.Mkiwa na viongozi kama Wenje ambao mnataka siku moja waongoze nchi, then you have another think coming.
Wake up,Slaa and Mbowe: Chadema kinaondoka! Tafuteni watu makini kwenye nafasi za uongozi ili muendelee. Chadema hakipendwi kwa sababu ni chama makini, bali kwa sababu watu wameichoka sana CCM, lakini CCM ni makini zaidi na wana mikakati mikubwa kuliko Chadema kwa mbali sana. We angalia hotuba za CCM bungeni uje ulinganishe na za Wenje na mambo ya ushoga wapi na wapi. As Prof. Muhongo said the other time hotuba za upinzani zinatakiwa zije na alternative solutions kwa matatizo ya taifa letu lakini si kuja na porojo tu zisizo na hoja yoyote. Soon the people will see thru Chadema and call your bluff. We need a strong and competent opposition!
yaani kati ya michango iliyoenda shule na wewe umo ndugu wengine wanazarau wenzao eti hawasomi hata ukisoma millions times utasoma cuf ni mrengo wa ushoga then what next we critical issues za kuongelea pale kuna mambo mengi yakutatua kuhusu hiyo wizara then mtu analeta mambo ya ushoga tena bungeni sasa mwenye majukwaa watasema nini yaani sitashangaa kuletewa ishu za ushirikina bungeni watu hawaangalii issue muhimu sasa urafiki wa ccm na vyama vya nje unatuhusu nin cdm na marafiki zake wanatuhusu nin tena bora hsta ni hao cuf wangekuwa chama tawala chenye serikali ndo tungeongea kwamba wanataka kuingiza ushoga sasa cuf ina effect gani labdaKwani kazi ya Chadema ni kuelezea mirengo mbali mbali na vyama vingine? Hawakuulizwa hilo. Na kama wangetaka porojo wangeelezea itikadi yao
Tatizo watanzania ni wepesi wa kubwabwaja tu, ukimwambia soma hata ukurasa mmoja hasomi, kwa mtu aliyemakini akisoma alichokiandika wenje hakuna tusi pale, Wenje amelezea milengo ya vyama mbalimbali duniani na vyama marafiki
Nimegundua watu wengi wanafeli mitihani kwa sababu ya kukurupuka kujibu bila kutafakali kwa kina
Mimi ni mpenda mageuzi. Kuna muda niliamini kwa nguvu kabisa kuwa uongozi wa Chadema unaweza kufanya kazi nzuri ya kukiongoza chama hadi kuchukua nchi na kuleta mabadiliko tunayoyataka. Lakini kadri siku zinavokwenda ndiyo nagundua udhaifu wa uongozi wa Chadema.