Pata green tea with ganoderma lucidum kwa ajili ya kuondoa sumu mwilini, kubalance pH ya mwilini, kupunguza uzito wa mwili na pia kuna product nyingine inasaidia kuondoa kiu ya ulevi na sigara. Mwenye kuhitaji maelezo na product ani pm
Watu wengi niliowauzia wana mafanikio na zaidi ya kupunguza mwili kuna added advatanges inaondoa sumu mwilini na kurekebisha pH. Lakini kama una mashaka uaweza kufanya research ndogo kabla ya kununua. Ingia google type ganoderma green tea upate shuhuda mbalimbali kabla ya kufanya maamuzi.
Nishafanya hivyo, ina side effects(point of correction). Haina tofauti na sliming tea labda bei tuu yako kubwa ila function ni zile zile. Thanks anyway.
Watu wengi niliowauzia wana mafanikio na zaidi ya kupunguza mwili kuna added advatanges inaondoa sumu mwilini na kurekebisha pH. Lakini kama una mashaka uaweza kufanya research ndogo kabla ya kununua. Ingia google type ganoderma green tea upate shuhuda mbalimbali kabla ya kufanya maamuzi.
Watu wengi niliowauzia wana mafanikio na zaidi ya kupunguza mwili kuna added advatanges inaondoa sumu mwilini na kurekebisha pH. Lakini kama una mashaka uaweza kufanya research ndogo kabla ya kununua. Ingia google type ganoderma green tea upate shuhuda mbalimbali kabla ya kufanya maamuzi.
Unaweza ukasema, kwa mfano, mtu akitumia box moja yenye pakiti 25 anaweza kupungua let say between 2-5 kgs.
Kuna watu wameshatumia sliming tea, probably wakaona "positive results" hata kama sio significant, na wanaweza kufanya comparison sasa. Kama hujatumia, waulize wale uliowauzia na wakakupa feedback.
Hii green tea yako nayo inahitaji masharti ( mfano kufanya mazoezi, kupunguza portion ya chakula, kunywa maji mengi etc etc) ili kupata "positive results"?
Kuna jamaa yangu alitumia "Clean 9" ya Forever Living. 9 solid days. Hakupungua hata robo kilo. Alipouliza why, akajibiwa kwamba hakufuata masharti tajwa hapo juu!