missongika
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 463
- 656
Mpango mzima ni chakula,maana hata ukifanya mazoezi mengi lakini unakula sana, basi shida iko palepale. Ikiwezekana punguza idadi ya milo pamoja na vyakula vyenye sukari.
Mkuu hao wanakuzungusha njia ndefu, we Fanya hivi njoo tukope 50m dhamana nyumba ya mzee wako Kisha Hela nipe Mimi nikafanyie biashara ntakuwa narudisha pesa na faida yako Kila mwezi, ndani ya mwaka mmoja tu mkuu wangu amini utakuwa kama kijiti. We nikopee tu Hela nipe mimi

Uzito uupate kwa miaka 20 afu uutoe kwa dawa za wiki mbili?Habari wakuu naomba ushauli wa kupunguza uzito kwa haraka zaidi naona ninapoelekea sio kuzuri, je nitumie dawa gani maana kwa kufanya mazoezi nitakuwa muongo sina muda huo kabisa
Umri: 25
Uzito wa Sasa: 100 kg
Lengo: Kupunguza kilo 10-15 kwa mwezi mmoja.
Sina unene kupita kiasi, lakini nina mwili mkubwa na kitambi kidogo.
Ninaweza kukimbia na kufanya kila kitu kwa ufasaha kabisa lakini nina minyama nyama kwenye kifua imeshuka ndo kinachonikela zaidi
Nina nia ya kupunguza uzito kwa njia yoyote isio na madhara. Naomba ushauri wenu kuhusu dawa gani nzuri naweza kutumia ikafanikisha lengo langu
Asante
PixHabari wakuu naomba ushauli wa kupunguza uzito kwa haraka zaidi naona ninapoelekea sio kuzuri, je nitumie dawa gani maana kwa kufanya mazoezi nitakuwa muongo sina muda huo kabisa