Je, ninaweza kutumia nusu ya boriti ya 2x2 (kuikata katikati kwa urefu nakuwa 1x2) kwa ajili ya blandering? Au inaweza kuleta shida in-terms of strength ya kushikilia gypsum board?
Umeshakula ng'ombe mzima... malizia tu. Hizo mbao zitashikilia board miaka yote ya uhai wa nyumba! ni lazima ziwe imara. Hata mtu akipanda juu kwa ajili ya service mbalimbali ziweze kuhimili. Kaza buti kidume malizia nyumba hiyo tuanze kukutembelea!!!

Komaa tu mkuu ingawa kiukweli mbao zina Bei Sana lakini ni Bora kufanya kitu ambacho kitadumu Sana.
By the way kuna mtu nimemuona kapaua nyumba yake kwa mirunda. Hivi mafundi mnasemaje kuhusu ili? Mirunda ni imara kweli? Vipi kuhusu kushambuliwa na mchwa?
1x2 haina uwezo wa kushikilia gypsum board. 2x2 zenyewe zinatumika kigumu tu. Isitoshe hiyo inayosemwa ni 2x2 vipimo hivyo haifikii inaweza kuwa ni 1.5x1.5