Kupunguza foleni Dar

Kupunguza foleni Dar

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
93,950
Reaction score
132,287
Mimi naona siyo lazima kila mtu awe anaenda na gari mjini wengine mngekua mnayaacha makwenu.Tumieni daladala punguza adha ya foleni hata hvyo kwanza hakuna hata raha ya ku drive gari mateso tuuuuu au ndiyo ile kila mtu anataka aonekane ana gari.
 
Daladala zipi hizo unazo2shauri? Daladala nyingi hazina staha...kuanzia kwenye huduma kwa wateja hadi gari lenyewe. ..istoshe vibaka nje-nje nk ....Hapana, nitavumilia foleni hadi pale Public Transport itakapoboreshwa.
 
Mkuu umeshawahi kutumia daladala hizo unazotushauri tutumie. Hakuna mtu hata mmoja anayetumia daladala sehemu yeyote hapa Dar atakushauri kutumia daladtala. Nina wasiwasi na wewe ni walewale unaowazungumzia
 
Back
Top Bottom