Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
sio cha siasa mkuu ..kikundi cha Umoja wa vijanaChama gani? Cha siasa au Moja ya vyama vingine visivyo vya siasa?
jamani mtu yoyote mwenye uzoefu na hizi kazi ..nahitaji kuprint t-shirt kama 20 aila tunaanza na kumi
1.nipo dar
2.toa bei ili nifanye comparison
3.t-shirt kwa ajili ya chama
3.angalau onesha hata picha za kazi uliwah kufanya
ninaprint tshirt aina zote sasa sijui unataka tshirt aina gani kuprintiwa
naprinti polo tshirt na round tshirt
kuhusu bei inategemea na kitu gani unachotaka kuprintiwa iwe logo ya full colour,
maandishi au picha hapo sasa ndo tunapanga bei
nami niko dar sema ufanyiwe huduma hiyo
Samahani, hivi nikileta plain T shirt nikataka uniprintie 'im your next girlfriend' itakuwa shin ngapi?
naanza kuprint tshirt 10pcs na sio moja best elewa hapo
wasiliana kwa kuniPM kama unazo 10pcs
Wai...me wakati najifunza kompyuta kitufe cha pm kilikuwa hakijawekwa bado,ila takutafuta maana sura yako naijua,nipo Dar,Moscow anakokaa Omar Mkali huku...
nmekupata dada naomba nitafute kesho mchana 0718/0764-776676 au weka yako then i will find you ili tuongee ..kikubwa ni bei tukishindana bei bei bhasi ..siunaju biashara maelewanoninaprint tshirt aina zote sasa sijui unataka tshirt aina gani kuprintiwa