Kupoteza Chet Cha kidato Cha nne

Mr mussa

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2018
Posts
304
Reaction score
478
Wakuu Habari!!

Naomba kujua nimepoteza Chet Cha form four je nikienda necta watanipa kingine au Kuna utaratibu gani huwa unafanyika
Shukurani
 
Nenda balaza kule watakuambia uende polisi ukatoe maelezo wakilizika nayo watakupa kibali baada ya hapo itakubidi u i publish hiyo habari ya kupotelewa kwa cheti kwenye gazeti la serikali then chukua izo nyaraka. rudi balaza kwa utaratibu unaofuata
 
Shukurani mkuu kutangaza kwenye gazeti Ni lazima au? Pia baada ya hiyo process kama sijakipata watanipa kingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…