kupotelewa vyeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kupotelewa vyeti

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ontuzu, Apr 12, 2012.

 1. Ontuzu

  Ontuzu Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 73
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  waheshimiwa, kijana wangu kapotelewa na cheti cha kidato cha nne, sita na chuo kikuu anaweza kupata vipya? ni utaratibu gani afuate.
   
 2. z

  ziwapohazipo Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Cha chuo kinapatikana unanatakiwa utagaze kwenye gazeti na baadae uambatanishe hio nakala ya gazeti na uwaandikie barua chuo husika kwa taarifa ni vizuri akaambatanisha na copy ya vyeti husika kama anavyo na vyeti vya form 4 na 6 waandikie necta atajibiwa kwa barua na wanatoa msaada kila wakati vitavyohitajika kimaandishi kwa yule atakae hitaji kwa ada ya sh 10,000 lkn wao hawatoi cheti chengine
   
Loading...