1. Kaongee na makonda wa daladala na madereva wana umoja wao. Kubali kutoa ata hela kidogo.
2. Nenda kituo cha polisi cha jirani, kutoa taarifa kwaajili ya usalama wako na pia itasaidia vikipatikana.
3. Bandika matangazo, eneo ilo makubwa, kama kuna mtu kachukua lazima atakua anakuja uko.
4. Nenda kwenye radio local Tangaza. Lipia mzigo.
5. Ukikosa, nenda utapata copy yake.