Majibu yako yangekuwa ni msaada tosha kwa wengine wenye matatizo yanayofanana na hili, lakini unapoingiza utani kwenye mambo ya msingi haiingii akilini hata kidogo! Ni lini sisi wa Tanzania tutakuwa na utamaduni wa kuheshimu mawazo ya watu wengine? Tujirekebishe na kulipa hadhi jukwaa hili! Period