Kupotea kwa noti za Sh 500

Tape measure

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,980
3,578
Katika mishe mishe zangu vijiweni na masokoni nimekumbana na malalamiko ya kuadimika kwa noti/sarafu ya Tsh. 500. Kwa wale wajuzi wa uchumi sijui hili mnalizungmziaje??? Pia wanadai note ya Tsh 5000 ndio inaoletwa zaid na wanunuzi katika biashara. Ndio kusema uchumi wetu unazorota?? Wajuzi karibuni
 
Back
Top Bottom