aende baraza la mitihani tz ata pewa maelekezo kama ifuatavyo.1-awene anabarua kutoka serikaliza mitaa,2-awena barua kutoka shule alipo somea,3-aende kwenye kuocha polisi ili apate police report,4-aende kutangaza kwenye gazeti lolote la serikali awena pasport size 2 then achukue gazetihilo alitoe kopi,orignal atabakinayo nakala apeleke baraza la mitihani tz aandae kiasi cha tsh 40000 atakacho lipia bank iliapate stetiment of certificate ambayo itamsaidia kuapplay chuo