Kuporomoka kwa Shilingi, ubinafwishaji Rasilimali ni Sera za chadema!

Kwa hiyo hamna akili kiasi kwamba mkishinikizwa tu mnakubali? Ndio maana sheria nyingi zinapitishwa kwa makelele ya ndiyooooo kutokana na kukubali kushinikizwa na akina vijisenti


Mzee Mtei alishiriki kushinikiza na ndiye aliyeanzisha chadema na lengo lilikuwa kutafuta mbadala wa CCM kwenye liberation of Tanzanian economy!
 
Akili matope una fikiriaga sijui kwa kutumia kichwa kipi? Upinzani ni wa kuheshimu

Sent from my ALE-UL00 using JamiiForums mobile app
 
Soryy mkuu; ninavyo kufahamu wewe ni Mwislamu mzuri unae ufuata uislam wako vizuri sana. Binafsi ni Mkristo but may be naweza kua sio Mkristo mzuri sana. Kwenye dini yangu mimi, kumsingizia mtu ni dhambi KUBWA but sina hakika kwenye dini yako. Labda tu swali la kizushi, biashara ya madini wakati tunaianza miaka hiyo ya 90 na of course ndio miaka hiyo hiyo tulianza mfumo wa vyama vingi na Chadema ilianzishwa miaka hiyo hiyo. Swali, mzee Mtei alikua na cheo gani serikalini au hata huko IMF/World bank?
 
Mmmh! umesoma fani gani Mkuu? Hayo mambo ya kupandisha ama kushusha thamani ya shilingi kama huna ufahamu wa masuala ya kiuchumi achana nayo.
 
Mkuu watu wengine ni waajabu, kama huyo mzee mtei alishindwa kuhujumu akiwa ndani ya system tena akiwa na power kubwa iweje alivyotoka ndiyo akaweza?
 
Mmmh! umesoma fani gani Mkuu? Hayo mambo ya kupandisha ama kushusha thamani ya shilingi kama huna ufahamu wa masuala ya kiuchumi achana nayo.


Hiyo ni sera tu, Benki Kuu ikianua inashusha na ndicho kilichofanyika kwa ushauri wa Mzee Mtei!
 
Ndiye aliyeshiriki kutushikiza tukubali sera za IMF, kujibu maswali yako ni Ndiyo!
Kumbe Mtei ana akili kuwazidi ccm na hiyo inadhihirishwa na namna mnavyohangaika na chadema. Kama mtu mmoja aliweza kuwashawishi hadi akina Nyerere na wasomi wengine wa serikali ya awamu ya kwanza maana yake ana akili nyingi, hivyo anastahili heshima.
 


Alishamaliza kazi Muzungu aliyomtuma, kwani Mzee Mwinyi alishasalimi Amri na kuanza kufuata masharti ya Mzee Mtei/IMF na athari zake tunaziishi leo hii na kuendelea!
 


Ndiyo ana akili vinginevyo asingepata kazi IMF na Wazungu kuamua kumtumia na kuanzisha Chama kinachodanganya Nyumbu wote leo hii!
 
Kuporomoka ama kupanda kwa shilingi inategemea sana mauzo yetu nje na utalii
 
HADITHI HII HUWAPATI WENYE VICHWA VIZURI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…