Kupona nguvu za kiume

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,779
Wana JF na Dr wa mahospitali,

Naomba kuuliza kama kuna mgonjwa aliyewahi kupona nguvu za kiume kwa kutumia Dawa za mitishamba au za hospitalini au vyakula vyenye virutubisho please naomba hizo contact za huyu Dr au mtaalamu aliyemsaidia kurudisha nguvu za kiume please.

Au kama wewe mwenyewe unajua namna ya kutoa msaada please :) Natanguliza shukrani Maboss wangu.PLEASE HAMNA KUKWAZANA WAHESHIMIWA WAKUU WANGU :)

NB.KWA WALE DR WA MAHOSPITALI KAMA KUNA SINDANO YA KUFANYA DAMU IWE NA MZUNGUKO MZURI KWENYE MISHIPA YA DAMU MSAADA WAKO TADHALI. UNAWEZA INBOX ME PLEASE.
 
Mkuu vipi ulishawahi kutumia vyote hivyo na vikashindwa kukusaidia?

Kama ndio!
Basi kunakitu kimoja cha umuhimu hapo (kuliko vyote hivyo) utakua ulikiacha, nacho si chingine bali ni mazoezi.

Exercicio faz um parte da nossa saude sio kula na kulala pekee.
 
Mkuu dawa ya kweli ya nguvu za kiume ni kufanya mazoezi kwasababu wanasema nguvu za kiume unategemea zaidi msukumo wa damu.
 
Mavindozi,Ninacho jua mazoezi ni mazuri sana kwa nguvu za kiume,na ninacho jua damu haizunguki vizuri kwenye mishipa yako so the best thing mazoezi yatakusaidia sana, na c kula na kupanda kitandani,;
 
Na naamini ukifanya mazoezi utaleta majibu mzuri hapa JF,na yawe endelevu boss,Mr Mtui anasema supu ya tikiti maji na limao!!!ni vizuri zaidi ukatumia juice ya water melon na tangawizi ni bora zaidi ya limao!!!anza ss mana unawza kukimbiwa na mke
 
Pamoja na mazoezi pia suala la kujiamini physiological ni muhimu sana. Ukiwa hujiamini ni tatizo kubwa, lazima jogoo atashindwa kupanda mtungi
 
Wajameni nyie bado mnajadili mambo ya dunia sisi huku Namanyere tunajiandaa kuihama dunia kabla ya mwisho wa mwezi!
 
Mbwa dume unamanisha nn!!!???mwenzenu anashida na anahitaji msaada sa wewe unaleta habari ya kuihama dunia uliambiwa mwisho wa dunia ni mwisho wa mwezi??au unaleta madharau hili jukwaa ni lakuelimishana na c madharau mbwa dume!
 
inaonekana una hili tatizo na linakutesa sana aise...pole sana Mungu yupo atakusaidia.
 
Umeongea kwa uchungu sana, pole sana zingatia mazoezi kama ulivoelekezwa na mpangilio mzuri wa lishe, punyeto acha alafu jiamini uwapo faragha.
 
Fanya yafuatayo.

Mazoezi, haya yatakusaidia kuleta mzunguko mzuri wa damu, lakini pili mazoezi huimarisha misuli na kuu-trick mwili kuzalisha hormone ya testosterone ambayo ndiyo hiyo haswa hufanya kazi ya ku boost nguvu za uume.

Lakini pili tafuta vyakula vyenye zinc ya kutosha, wengi wanashauri utumie tikiti maji(unakula na mbegu zake kwa kuzitafuna) na ku mix na mengine lakini kinachotafutwa hapo kwenye tikiti maji ni madini ya zinc tu, kwa hiyo hata ukioata mbegu za maboga si mbaya.

So ukipata vyakula vyenye zinc ya kutosha vutaku boost sana maana vitazalisha hormone ya kiume ya testosterone na utarudi kwenye nguvu.

Pila fanya mazoezi ya via ya uzazi yanaitwa kergel exercise.

Kwa ushauri pia mtafute mkuu MziziMkavu atakusaidia sana, kasaidia wengi mno,he is a good man
 
Fanya mazoezi , Acha pombe na misigara itakutia uhanithi, kunywa Chai ya tangawizi asubuhi na ucku, tumia mchanganyiko wa asali mbichi, habatsoda ya unga, na maziwa fresh asubuhi na jioni,

Wengi wameponzwa na pombe Hatimae ndoa zao zi mashakani,
 
Wana JF na Dr wa mahospitali,

Naomba kuuliza kama kuna mgonjwa aliyewahi kupona nguvu za kiume kwa kutumia Dawa za mitishamba au za hospitalini au vyakula vyenye virutubisho please naomba hizo contact za huyu Dr au mtaalamu aliyemsaidia kurudisha nguvu za kiume please.

Au kama wewe mwenyewe unajua namna ya kutoa msaada please :) Natanguliza shukrani Maboss wangu.PLEASE HAMNA KUKWAZANA WAHESHIMIWA WAKUU WANGU :)

NB.KWA WALE DR WA MAHOSPITALI KAMA KUNA SINDANO YA KUFANYA DAMU IWE NA MZUNGUKO MZURI KWENYE MISHIPA YA DAMU MSAADA WAKO TADHALI. UNAWEZA INBOX ME PLEASE.
kama unauwezo wa kusafiri naweza nikakuambia its real ndugu
 
Wana JF na Dr wa mahospitali,

Naomba kuuliza kama kuna mgonjwa aliyewahi kupona nguvu za kiume kwa kutumia Dawa za mitishamba au za hospitalini au vyakula vyenye virutubisho please naomba hizo contact za huyu Dr au mtaalamu aliyemsaidia kurudisha nguvu za kiume please.

Au kama wewe mwenyewe unajua namna ya kutoa msaada please :) Natanguliza shukrani Maboss wangu.PLEASE HAMNA KUKWAZANA WAHESHIMIWA WAKUU WANGU :)

NB.KWA WALE DR WA MAHOSPITALI KAMA KUNA SINDANO YA KUFANYA DAMU IWE NA MZUNGUKO MZURI KWENYE MISHIPA YA DAMU MSAADA WAKO TADHALI. UNAWEZA INBOX ME PLEASE.
IMG_20160408_160324.JPG
IMG_20160408_160324.JPG
matokeo ni baada ya mda wa siku tatu0712505049
 
Back
Top Bottom