Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,375
Alitangaza kalazwa Temeke kituo cha corona March 16Kalazwa lini? Na wakati kila siku tunashinda nae mitandaoni.
Alivyokuwa anajisifia kuwa kupiga chuma saana, corona haimsumbui π, wenye vitambi ndio wanapona tu, Salam sk kapona wiki 2 SasaHivi jamaa alikuwa serious?
Mimi nilijua usanii ukiongeza na maneno ya TL ndo nikavurugika kabisa.
Interview ilifanyika Nov 2019Mbona juzi tu alifanya interview na salama jabir na aka share link ya hiyo interview kwenye facebook page yake?
Dooo kumbe ni ya zamani sana ,sasa salama naye anatuletea interview za mwaka jana kwenye kipindi kipya??Inter
Interview ilifanyika Nov 2019
interview ilifanyika muda mrefu kabla corona haijaingia bongoMbona juzi tu alifanya interview na salama jabir na aka share link ya hiyo interview kwenye facebook page yake?
Ndio hivyo interview yote hajamuuliza corona hΓ’ta mara moja, hapo ni dhahiri Ali rekodi last yrDooo kumbe ni ya zamani sana ,sasa salama naye anatuletea interview za mwaka jana kwenye kipindi kipya??
Hahahahahahaπ kumbe wenye vitambi wapo salamaAlivyokuwa anajisifia kuwa kupiga chuma saana, corona haimsumbui π, wenye vitambi ndio wanapona tu, Salam sk kapona wiki 2 Sasa
HahahhaHahahahahahaπ kumbe wenye vitambi wapo salama
πππππHahahha
Akafanya watu na vitambi vyetu tutembee kinyoonge........ πππ
Hahahha
Akafanya watu na vitambi vyetu tutembee kinyoonge........ [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli, ila kupiga chuma haimaanishi ndio Una chanjo, kajisifia wee wanapona wengine π,