Ukiona neno Arrival at destion country or item ready to pick up nenda ,huenda ukawa hauko Dar na hio ikawa ni notification ya mzigo kufika GPO (general postal office) so bado haujafika posta yako,ila yote yawezekanaView attachment 2045726
Hiyo notification nimeona katika akaunti yangu ya AliExpress.
Je? kwa maana hiyo naweza kwenda kupokea parcel yangu posta?
Kwa ambao mshawahi kununua vitu online naomba mnishauri. Natakiwa nifanyeje hapo.
Ukiona neno Arrival at destion country or item ready to pick up nenda ,huenda ukawa hauko Dar na hio ikawa ni notification ya mzigo kufika GPO (general postal office) so bado haujafika posta yako,ila yote yawezekana

Nenda posta kiongozi kachukue mzigo wako thou ilitakiwa uwe notified ,posta zetu ili upate uhakika wa kupewa taarifa kila item zako zikifika jenga urafiki na mhusika ,utakua unaletewa ata kwako.
sawa mkuu na hiyo tracking number ni ipi?Nenda posta kiongozi kachukue mzigo wako thou ilitakiwa uwe notified ,posta zetu ili upate uhakika wa kupewa taarifa kila item zako zikifika jenga urafiki na mhusika ,utakua unaletewa ata kwako.
sawa mkuuTracking number ni namba ya mzigo kiongozi ,seller alipo tuma item zako unapewa namba inayoanza na vi herufi
1. Umepata lini hiyo email?Je? kwa maana hiyo naweza kwenda kupokea parcel yangu posta?
Kwa ambao mshawahi kununua vitu online naomba mnishauri. Natakiwa nifanyeje hapo.
sijatumia free shipping1. Umepata lini hiyo email?
2. Je, uliandika namba yako ya simu?
Kama email umeipata siku za karibuni, na uliandika namba ya simu, basi vumilia utatumia message na Posta! Mzigo inaweza ikawa umefika posta lakini ikawa bado sorted. Yaani, Posta wakishapokea mizigo, wanaipanga kwenye madaraja tofauti tofauti including yale yanayotakiwa kupitia TRA! Baada ya hapo, wanatuma message ingawaje wakati mwingine, especially kwa hii free shipping parcels, mzigo unaweza kufika posta na ukasubiri na kusubiri na bado message usiipate!!
1. Umepata lini hiyo email?

Watakupgia au kukutumia msg wao wenyewe ila uwa wanachelewa sanaView attachment 2045726
Hiyo notification nimeona katika akaunti yangu ya AliExpress.
Je? kwa maana hiyo naweza kwenda kupokea parcel yangu posta?
Kwa ambao mshawahi kununua vitu online naomba mnishauri. Natakiwa nifanyeje hapo.
Uibiwe nini ,kuna kipi ulichokisi kina viashiria vya wizi kuanzia mada ya mhusika na michango ya wachangiaji? Nchi iko mbali sana hii kama hujui heri uulize.Mh! sio mnatupanga ili mtuibie nyie watu?
Mwe! Mwe!
Hapo mzee bado, itabidi utulie kwa sababu hata posta hujafika. Ukishafika, na mizigo yote kuwa sorted, utatumia message.
Basi uwezekano wa kupata message mapema ni mkubwa!sijatumia free shipping
Nishachukua mzigo mkuu,kumbe ulikua ushafika lakini sms hawajatuma wala kupiga simu.Hapo mzee bado, itabidi utulie kwa sababu hata posta hujafika. Ukishafika, na mizigo yote kuwa sorted, utatumia message.