Habari za majukum wanajamvi.
Ninahitaji huduma ya kupimiwa eneo langu ili ni process kupata hati ya kiwanja. Eneo lipo kibaha mkoa wa pwani. Any leads nitashukuru sana
Habari za majukum wanajamvi.
Ninahitaji huduma ya kupimiwa eneo langu ili ni process kupata hati ya kiwanja. Eneo lipo kibaha mkoa wa pwani. Any leads nitashukuru sana
Habari? Nenda halmashauri wachukue Surveyor aje kuchukua coordinates ya eneo husika, baada ya hapo watapeleka kwa Afisa Mipango miji kuangalia eneo hilo limepangwa kwa ajili ya matumizi gani,
Utajaza form kadhaa kuomba upatiwe hati, form hizo utasaini pia serikali ya mtaa,
Utaandaa kitambulisho cha Nida, utaandaa passport size 6 then ukimaliza form utalipia control number ya 5,000/- file lako litatumwa wizarani,
Wizara utapatiwa control number ukilipilia utapata hati baada ya Siku 90 tuu, uzuri Siku hizi kuna hati za digital