Melkizedeck Majula New Member Joined Feb 7, 2019 Posts 1 Reaction score 2 Nov 18, 2021 #1 Kwa mkulima yoyote anayeitaji kupimiwa udongo tunapima. Unaweza kuleta sample ya udongo tukakupimia ili kutambua soil pH ya udongo wako. Gharama ni Tshs 20,000/= Cash kwa kila kipimo. Majibu baada ya siku 5 Asanteni na Karibuni. Contact: 0627262574
Kwa mkulima yoyote anayeitaji kupimiwa udongo tunapima. Unaweza kuleta sample ya udongo tukakupimia ili kutambua soil pH ya udongo wako. Gharama ni Tshs 20,000/= Cash kwa kila kipimo. Majibu baada ya siku 5 Asanteni na Karibuni. Contact: 0627262574
Supu ya kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,609 Reaction score 8,310 Nov 18, 2021 #2 Mko wapi boss
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,343 Reaction score 2,968 Nov 18, 2021 #3 Acha fix, kupima pH ya udongo tu siku tano? 20,000/=? Bei hazidi elfu 10 na muda ni nusu saa tu.
rommy shabby JF-Expert Member Joined Jun 26, 2017 Posts 1,122 Reaction score 1,313 Nov 18, 2021 #4 Wapi wanapima toa muongozo basi wajingawatu said: Acha fix, kupima pH ya udongo tu siku tano? 20,000/=? Bei hazidi elfu 10 na muda ni nusu saa tu. Click to expand...
Wapi wanapima toa muongozo basi wajingawatu said: Acha fix, kupima pH ya udongo tu siku tano? 20,000/=? Bei hazidi elfu 10 na muda ni nusu saa tu. Click to expand...
Supu ya kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,609 Reaction score 8,310 Nov 18, 2021 #5 wajingawatu said: Acha fix, kupima pH ya udongo tu siku tano? 20,000/=? Bei hazidi elfu 10 na muda ni nusu s Click to expand... πππ Labda akishapima pH anapima na mimba.
wajingawatu said: Acha fix, kupima pH ya udongo tu siku tano? 20,000/=? Bei hazidi elfu 10 na muda ni nusu s Click to expand... πππ Labda akishapima pH anapima na mimba.
Lily Tony JF-Expert Member Joined Feb 6, 2019 Posts 3,309 Reaction score 4,344 Nov 18, 2021 #6 Gwallo