mwanamke kiumbe dhaifu wewe wasifie hivyo hivyo utakuja shangaaaKwani nyie huwa mnadhani mwanamke ni nini? Kuna wanwake vilaza kama walivyo wanaume wengine na kuna wanawake wapo vizuri kama walivyo wanaume wengine.
Wewe kwa mfano nakuhakikishia kuna wanawake humu wanakuzidi uwezo kuanzia mwandiko hadi kujieleza bisha nikuitie hapa.
Wanaume siku hizi ndiyo tumekua dhaifu na tunazidi kuwa dhaifu. Udhaifu wa wanawake siku hizi unabakia kwenye mascularity tu na huu sio udhaifu ni toafuti za jinsia.. vingine wanakuzidi wewemwanamke kiumbe dhaifu wewe wasifie hivyo hivyo utakuja shangaaa
endelea utakuja kuniambia ndugu yangu,mwwanamke hata awee vip hawez mshinda mwanaume hiyo ni nature,na kueleza tuu ndugu yangu mwanamke sio mtu wa kumpa credit mapema hivyoWanaume siku hizi ndiyo tumekua dhaifu na tunazidi kuwa dhaifu. Udhaifu wa wanawake siku hizi unabakia kwenye mascularity tu.. vingine wanakuzidi wewe
Pesa,elimu,Akili za maisha, kila kitu. Sasa kiumbe chenye nguvu kitaanza kujadili udhaifu wa kiumbe dhaifu wtf!!
Mwanamme mwenye mawazo haya namuona hajastaarabika kwangu.endelea utakuja kuniambia ndugu yangu,mwwanamke hata awee vip hawez mshinda mwanaume hiyo ni nature,na kueleza tuu ndugu yangu mwanamke sio mtu wa kumpa credit mapema hivyo
yaan nasema hivi we wasifie utakuja kunambia,mwanamke hata awe na dunia nzima hiii uwezo wake ni weak sana ukilinganisha na mwanaume asiye na kituMwanamme mwenye mawazo haya namuona hajastaarabika kwangu.
Wanawake wapo hadi mimi walionizidi na hata wewe najua wapo waliokuzidi kila kitu isipokuwa tofauti za kibailojia hizi hazikufanyi umzidi maana ni tofauti.
Sasa kama mwanamke.
-anakuzidi pesa/uchumi
-anakuzidi uwezo kupambanua mambo
-Elimu
-ushawishi
-power/maamuzi
Utasema huyu ni dhaifu?
Hah hah hah notedSubscribe
Haya subiri siku Malkia Elizabeth awe dhaifu kwako.yaan nasema hivi we wasifie utakuja kunambia,mwanamke hata awe na dunia nzima hiii uwezo wake ni weak sana ukilinganisha na mwanaume asiye na kitu
Marioo tuliza mshono. Aliyewaumba anasema anasema wana mapungufu ww kulelewa kidogo tu unawasujudia. Au sio ME ww?Mwanamme mwenye mawazo haya namuona hajastaarabika kwangu.
Wanawake wapo hadi mimi walionizidi na hata wewe najua wapo waliokuzidi kila kitu isipokuwa tofauti za kibailojia hizi hazikufanyi umzidi maana ni tofauti.
Sasa kama mwanamke.
-anakuzidi pesa/uchumi
-anakuzidi uwezo kupambanua mambo
-Elimu
-ushawishi
-power/maamuzi
Utasema huyu ni dhaifu?
mwanamke ni kama mtoto,huyo malkia mwenyew ni dhaifu hana lolote cheo ndio kinampa jina kubwa,lakin ukiishi na mwanamke kama ni kiumbe mwenye nguvu atakushinda mwanamke yeye ni mtoto miaka yote hakupewa nguvu hata tangu uumbaji,ndio maana hawa alitongozwa na shetan nyoka akashawishika.Haya subiri siku Malkia Elizabeth awe dhaifu kwako.
Halafu sina muda wa kumsifia mtu mimi nakuelekeza uachane na mawazo yako.
Aliyewaumba hakuwahi kuwapa nafasi na au hata kuwahesabu.Marioo tuliza mshono. Aliyewaumba anasema anasema wana mapungufu ww kulelewa kidogo tu unawasujudia. Au sio ME ww?
haupo serious bro tulia tuuuAliyewaumba hakuwahi kuwapa nafasi na au hata kuwahesabu.
Ila leo wanawake wana kaya zao kama wanaume tulivyo, wana wahubiria hadi makanisani kama tufanyavyo wana nguvu na ushawishi kama tulivyo.
Aliyewaumba alikuwa hajasoma nyakati tu. niite mario ila naweza kuwa babayako.
Hahahhaha Mungu hajui alama za nyakati? Anyway endelea kuwasujudiaAliyewaumba hakuwahi kuwapa nafasi na au hata kuwahesabu.
Ila leo wanawake wana kaya zao kama wanaume tulivyo, wana wahubiria hadi makanisani kama tufanyavyo wana nguvu na ushawishi kama tulivyo.
Aliyewaumba alikuwa hajasoma nyakati tu. niite mario ila naweza kuwa babayako.
Baki na stori zako na nyoka, ila uhalisia unauona mwenyewe.mwanamke ni kama mtoto,huyo malkia mwenyew ni dhaifu hana lolote cheo ndio kinampa jina kubwa,lakin ukiishi na mwanamke kama ni kiumbe mwenye nguvu atakushinda mwanamke yeye ni mtoto miaka yote hakupewa nguvu hata tangu uumbaji,ndio maana hawa alitongozwa na shetan nyoka akashawishika.
Mmmh aisee..hold onUnataka ugundue nn?
Wewe reasoning yako ni ya kiwango gani?
Anyway, unachokitafuta utakipata ila ki uhalisia wanawake wengi mambo mengi tunafanana mama zetu, ukiona MTU ambae hajitambui hata kwenye vitu vidogo, research yako ianzie kwa mama yake. Mtoto umleavyooooooo.....!
Na usisahau kuwa % kubwa ya wanawake walio wengi mungu kawajalia uwezo mkubwa wa kufikiri, na huwezi kumtambua MTU kwa kumuona tu, wewe angalia matendooo.