bomouwa
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,149
- 798
Habari wanajamvi?
Walah napongeza jitihada mbalimbali zinazoratibiwa na Serikali kupitia Wizara ya Afya pamoja na mashirika yasio ya kiserikali katika kuhamasisha juu ya ufahamu wa HIV/AIDS.
Ila kupima virusi ni kipaji ingawa si cha uso .Maana ukikumbuka mapito yako halafu ndo unaambiwa zamu yako ukapimwe aaaaaaah bila hiana azima .
Siku ulipopima ulijiskiaje kusubiri majibu?