Kupima HIV inahitaji moyo

Kwa hiyo watu huugua ninii???

ni kwamba hakuna uthibitisho wowote wa kisayansi kwamba vvu wanasababisha ukimwi na unapopima hawapimi uwepo wa vvu ktk damu yako ila wanapima uwezo wa kinga yako dhidi ya vvu. Na wanapokuta kinga ipo chini unaambiwa una Hiv+ wakat kinga zinaweza kuwa zimeshuka kutokana na sababu nying kama msongo wa mawazo, unywaji pombe bila msosi, ukosefu wa maji safi na salama, ukosefu wa lishe bora n.k na tatizo linalowafanya weng waamin uwepo wa vvu ni mdororo wa afya ambao chanzo chake kikuu ni Arvs kwan zina madhara makubwa ambayo tunaambiwa ndio dalili na matokeo ya virus vya ukimwi na ndizo hupelekea vifo vya mamilion ya watu rpg Tamalisa Katavi
 
Last edited by a moderator:

Aisee nahisi ww ndie wife wangu maana alinifanyia hivyo, tofauti ni kuwa yy hakurudi saa4 usiku...but allactions is exactly the same...
 
He he he Mr. Mangi aisee usinitanie aisee nambie nambie nini hapo mwisho tena
 
Mwaka jana mwezi wa nane nilienda kupima aiseee walivyokua wanaita majina ya waliotangulia mbele yangu nikashindwa kuvumilia nikakimbia lakini kesho yake nikaenda sehemu nyingine tukakutana watu kama wa 4 hivi tulifahamiana vizuri, yule aliekua anatoa ushauri alikua fresh sana charming hadi nikaona umuhimu wa kupima huyo dada yupo kilwa road hospitali ya polisi....daaah kweli kupima saa zingine mshauri ana nafasi yake
 
Sasa nimeelewa asante sana
 
Aisee nahisi ww ndie wife wangu maana alinifanyia hivyo, tofauti ni kuwa yy hakurudi saa4 usiku...but allactions is exactly the same...
Hahahaaaaa, im not the one. By the way wangu hana habari na JF
 
Huyo wako kakopi kwangu..........wyf akishapima na mimi hapohapo natake advantage
 
Huyo wako kakopi kwangu..........wyf akishapima na mimi hapohapo natake advantage
 
Huyu mwanamme kama ni MUME wako wa ndoa...ana hasara.
 
Umenifurahisha sana aise aahahahaaa hivi bado unalo hilo lianamume?
 
He he he Mr. Mangi aisee usinitanie aisee nambie nambie nini hapo mwisho tena

we unaona masihara ila huu ni ukwel uliofichwa ila ipo siku kila mtu atajua ukweli japo kwa kuchelewa ila uvivu wa wengi wa kutosoma pengine hawatajua ila vitukuu wao watakuja jua.
 
we unaona masihara ila huu ni ukwel uliofichwa ila ipo siku kila mtu atajua ukweli japo kwa kuchelewa ila uvivu wa wengi wa kutosoma pengine hawatajua ila vitukuu wao watakuja jua.

Mhhhhhhhhh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…